Kutuma Pesa Kutoka TIGO-PESA kwenda Benki ya CRDB


09/09/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Mobile Transactions


Send Money from TIGO-PESA to CRDB Bank

TIGO- kwa kutumia Huduma za Kifedha

  1. Kwenye sehemu kupigia simu andika *150*01# na ubofye kidude cha kupigia simu
  2. Chagua namba 6 Huduma za Kifedha
  3. Chagua namba 1 TIGO-
  4. Chagua kwenye orodha mabenki namba moja (1) kwa maana
  5. Chagua moja (1) Kuingiza namba ya kumbukumbu
  6. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (Tumia akaunti namba ya )
  7. Weka kiasi
  8. Ingiza namba ya siri kuhakiki

Subiri ujumbe TIGO na wa kukujulisha kama muamala wako umefanikiwa na kama haujafanikiwa rudia tena kwa kuanza na hatua ya kwanza hapo juu

Comments