Nafasi za kazi za Uhasibu 2012: Mhasibu mjini Arusha, Tanzania


08/09/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Uncategorized


Mmoja ya mteja wetu anategemea kumuajiri ?mhasibu mwenye uwezo, kujituma, kupenda kazi ya uhasibu. Awe na sifa zifuatazo:

Sifa: Awe na stashahada ya juu au inayofanana na hiyo
Uzoefu: Si chini ya mwaka mmoja
Kituo cha kazi: Karatu, Arusha, Tanzania
Mishahara: 1m (utategemea elimu na uzoefu)
Kuanza kazi: Mapema Julai 2012
Usaili: ?kupitia simu, skype au nk.)

Start enjoy free listing with Arusha City Directory ListingSubmit Listing to Arusha City Directory

Comments