Namna ya Kucheza Tusua Mapene ya VodaCom


30/12/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Michezo ya Kubahatisha


Tusua Mapene na VodaCom

Tusua Mapene ni mchezo wa kubahatisha unaochezeshwa na Vodacom .

Kuna zawadi za papo kwa papo za sh. milioni 20 na inatoa washindi watano kwa jumla ya milioni 100. Kuna zawadi za kuanzia shs laki 5 hadi milioni 15 kila siku. Pia kuna zawadi za shs. milioni 15 kila mwezi. Katika droo kubwa ya mwisho itatolewa shs million 150 kwa atakayeshinda.

Namna ya Kucheza

Tuma neno ‘cheki’ kwenda 15544 kwa gharama ya shs. 300 kwa kila sms kwa siku. Utafahamishwa juu ya droo kubwa na mwendendo mzima wa zawadi za papo kwa papo. Unaweza pia shiriki kupitia MPESA kwa
  1. Piga *150*00#
  2. Chagua 3 Nunua vifurushi/Muda wa maongezi
  3. Chagua 8, TUSUA MAPENE
  4. Chagau moja, Jinunulie au mnunulie rafiki
  5. Chagua pointi za siku, wiki au mwezi
  6. Weka namba ya siri
  7. Thibitisha

Kumb: Unapomnunulia rafiki, yeye ndiye atakuwa mshindi kama akibahatika

Comments