Ofa Maalum ya Masomo kwa Krismasi na Mwaka Mpya


08/09/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Education


esis-web-logoNafasi za utafutaji wa madini ngazi cheti stashada punguzo la 51% kutoka ada 1,850,000/=TSh. hadi 900,000/= mwaka kuanzia January 2013. Mwisho wa ofa ni 21/12/2012.Baada hapo ada kawaida itatumika

Mwisho wa ofa:  saa 11 jioni tarehe 21/12/2012. (siku ijumaa) baada hapo ada kawaida itatumika

yanayofundishwa ni ya cheti stashada katika fani ya utafutaji jiolojia ya uchimbaji wa madini (certificate and diploma in exploration and mining geology)

Chuo kipo ndani ya mgodi wa mwadui kimesajiliwa nacte namba reg/eos/041p

Mwombaji angalau awe na d 4 katika mtihani wake wa kidato cha nne.

Upatikanaji wa fomu:  fomu zinapatikana katika tovuti yetu, barua pepe (andika kichwa cha somo “ofa ya krismasi na mwaka mpya” ) au fika katika ofisi za chuo zilizopo ndala shinyanga

Tafadhali tembelea tovuti yetu www.esis.ac.tz au wasiliana nasi kwa namba 0752 990 586 kwa maelezo zaidi

Pia tunapatikana kwenye facebook kwa anuani hii  http://www.facebook.com/chuochamadini

Wote mnakaribishwa sana

Comments