GoogleMap Location

Je wajua?

Visit Website Add Favorites Contact Owner
Location: Arusha Hotline #:
no-image-8253
Je Wajua ni tovuti yenye lengo la kuhabarisha uma kwa mambo yenye msisimko wa kipekee kwa kusudi la kuburudisha na kuelimisha nkrnrnPata Habari, Taarifa, Msisimko, Burudani, Vichekesho na Maarifa Mapy
Distance: Unknown

Katika taarifa yetu hii tutaangalia vitu muhimu katika harusi kama vile Aina na idadi ya waalikwa, chakula, keki, gauni la bibi harusi, vifaa vya muziki na mapambo nk. Kwa matajiri mabilionea mara zote hutawaliwa na manukato ya gharama, walikwa wenye majina, watumbuizaji wa muziki maarufu na vitu kama gauni la bibi harusi la gharama, keki ya gharama nk. Mfano Harusi fulani alialikwa mwanamuziki Shakira kwa ndege binafsi ya kwenda na kurudi nje ya Marekani na kuimba njimbo tatu tu kwa kiasi cha dola za kimarekani milioni 3. Keki kutengenezwa  kwa dola za kimarekani laki 300 na Gauni la harusi kwa dola za kimarekani laki 600 nk.

 

Hebu tuangalie Harusi kumi za kifahari zaidi duniani:

kupata taarifa zaidi tafadhali tembelea website hapo chini


Official Website URL Visit Link Here
Public Email [email protected]
Access type
99
Distance: Unknown
Address Arusha
Category
Keywords   

Contact Owner Complete the fields below to contact this listing author.



Most Related Listings