Namna ya Kucheza Tatu Mzuka Kupitia MPESA, AIRTEL MONEY NA TIGO PESA


30/12/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Michezo ya Kubahatisha


Namna ya Kucheza tatuMzuka

Namna ya kucheza Tatu Mzuka

Kuna zawadi kila saa, kila wiki na shindano la mwisho

Ukiweza linganisha namba tatu zote unashinda mara 200 ya kiasi ulichochezkiwango cha chini ni 500 na cha juu ni 30,000

Namna ya kucheza MPESA

  1. Andika *150*00# bofya kidude cha kupiga simu
  2. Chagua 4: lipa kwa mpesa
  3. Chagua tena 4: number ya kampuni
  4. Weka namba ya kampuni ambayo ni 555111
  5. Weka namba ya kumbukumbu yenye tarakimu tatu tu ambayo ndio namba yako ya bahati
  6. Weka kiasi cha mchezo kati ya 500 hadi 30,000
  7. Weka namba ya siri
  8. Bonyeza 1 kuafiki
  9. Angalia na fuatilia ujumbe mfupi kama umeshinda na maelekezo mengine
Comments