Nafasi za Masomo Chuo cha Madini Shinyanga


08/09/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Uncategorized


ESIS Chuo Cha Madini Default Image

Chuo kinatoa mafunzo katika ngazi ya cheti na diploma katika fani ya Utafutaji na Jiolojia ya Uchimbaji wa Madini (Exploration and Mining Geology) na Elimu ya Mafuta na Gesi (Petroleum Geology)

  • Chuo kipo ndani ya MGODI WA MWADUI na kimesajiliwa na NACTE kwa namba REG/EOS/041
  • Fomu za maombi zinapatikana katika ofisi za chuo zilizopo Ndala block HH No.91 Shinyanga mjini, Chuo Kikuu Huria na Mgodini Mwadui, Shinyanga.
  • Pia fomu zinapatikana katika tovuti yetu ya www.esis.ac.tz
  • Maombi yanapokelewa kila mwaka kuanzia mwezi wa tatu mpaka mwezi wa sita
  • Masomo huanza mwezi wa nane kila mwaka
  • Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea  ukurasa huu “application process” au wasiliana nasi kwa  namba za simu au email

 

Comments