Seminar – Jinsi ya kukuza mtaji kwa wajasiliamali


08/09/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Uncategorized


Je unafahamu jinsi ya kukuza mtaji wako ili uweze kupanua
biashara yako na kufikia wateja wengi zaidi wanaopenda bidhaa
zako? Kama jibu ni HAPANA basi semina hii ni yako.
Katika dunia ya leo kua na bidhaa inayotoka ndio kila kitu. Isipokua udhaifu hasa
kwa wenye biashara ndogo na za kati katika kusimamia biashara na kuzivusha
kutoka udogo wa sasa na kuzipanua kwa kufungua matawi mapya zaidi ili kufikia
wateja wengi zaidi walioko mbali. Hii inasaidia kuongeza mauzo na kuleta faida zaidi.
Hivyo basi katika semina hii ya kwanza na ya aina yake hapa katika mwaka
huu wa 2012, ni watu wachache tu wanalengwa ili kuweza kuwapatia elimu na
kuwajengea utayari na ujasiri na pia kuwapa mbinu za kukuza mtaji ili waweze
kuvuka hata mipaka ya biashara walioizoea kwa kupeleka bidhaa zao mikoa mingine
na hata nje ya nchi. Mwakilishi kutoka TCCIA ataelekeza utaratibu wa kusafirisha
bidhaa nje ya nchi ya .
Lengo:  Semina kwa ?Njia za kukuza mtaji ili kupanua biashara yako na kufikia wateja
wengi zaidi?.
Mahali:  Hoteli ya New Safari ? Holi la Twiga
Tarehe & Muda:  27/7/2012 kuanzia saa 3 Asubuhi mpaka saa 6.30 Mchana
Walengwa:  Wajasiliamali wanaopenda kupanua biashara zao na kufungua matawi
mapya nje ya Jiji la na Nje ya .
Mwezeshaji:  Beatus Mlingi, Mkufunzi kutoka chuo kikuu shule ya Biashara, --
.
Ada ya kushiriki

  • ? Ada ya kushiriki ni Tshs.35, 000 kwa kila mshiriki. Tafadhali waweza kulipia

mapema kwa hundi, fedha taslimu au kuweka benki katika akaunti namba
1031352601 Benki ya . Pia waweza kulipia kwa M-Pesa kwa namba
+255753589633.

  • ? Usafiri si sehemu ya malipo ya ushiriki.
  • ? Beatruth LTD itawezesha kinywaji na kitafunwa wakati wa mapumziko.
  • ? Cheti cha ushiriki kitatolewa kwa kila mshiriki atakayehudhuria.

Tafadhali jiandikishe kwa Timu ya Masoko na Mauzo ya Beatruth Limited au TCCIAArusha
ili kushiriki kwa simu, barua pepe au nukushi kabla ya Tarehe 16/7/2012
kwani ni watu wachache wanaolengwa katika semina hii ya kwanza ya aina yake
mwaka huu wa 2012. Tafadhali wakilisha majina sahihi ili kuwezesha uandaaji wa
vyeti.
 
 

Comments